Skip to content
The Believer's Library

Biblica® Open Kiswahili Contemporary Scriptures™ 2024

Psalms 131 ONMM

Side by side with the Father's Heart Bible™

Wimbo wa kwenda juu. Wa Daudi.

Kumtegemea Mwenyezi Mungu kwa unyenyekevu

1Moyo wangu hauna kiburi, Ee Mwenyezi Mungu,macho yangu hayajivuni;sijishughulishi na mambo makuu kunizidiwala mambo ya ajabu mno kwangu.

2Lakini nimetuliza na kunyamazisha nafsi yangu;kama mtoto aliyeachishwa kunyonya na mama yake,kama mtoto aliyeachishwa kunyonyandivyo ilivyo nafsi iliyo ndani yangu.

3Ee Israeli, mtumaini Mwenyezi Mungutangu sasa na hata milele.

Biblica® Toleo Wazi Neno: Maandiko Matakatifu™ ONMM™ Hakimiliki © 2018, 2024 na Biblica, Inc. Biblica® Open Kiswahili Contemporary Scriptures™ Copyright © 2018, 2024 by Biblica, Inc.
Biblica® Open Kiswahili Contemporary Scriptures™ 2024 · Creative Commons - Attribution-ShareAlike [CC BY-SA]